[Lyrics] Phina – Rara (Ft Jux) Lyrics

Mapenzi mapenzi mapenzi

Unataka nini mapenzi mapenzii

Nawaza ushenzi ushenzi baby all time kichwani ni mapenzi

Give me your love tonight am give my number call me call me

Baby am come night kichonge kitanda ata kishisholombi

Hapa watapotea kutupata makosa makosa

Wametukosa na maneno yanachosha

Ukikosa babycare nipake ya mwamposa inatosha baby inatosha

Baby give to me rara rara rara rara

Uuh yeeeeh rara rara rara rara

My only one the one rara rara rara rara

Mpenzi mpenzi mpenzi

Unataka nini penzi mpenzi

Najua hupendi hupendi kubaki mwenyewe basi kazini siendi

Sikuzaliwa bubu ila kwako siwezi sema

Mmh mi kwako nishatubu na mwengine sitaki tena

Hapa watapotea kutupata makosa makosa

Wametukosa maneno yanachosha

Nikikosa babycare ntakupaka ya mwamposa inatosha my inatosha mmh

Baby give to me rara rara rara rara

Uuh yeeeeh rara rara rara rara

My only one the one rara rara rara rara

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…