[Lyrics] Phina – Rafiki Lyrics

We si mwana we mwanahamisi 

Nikiwepo unacheka 

Nikisepa unanidiss 

We si mwana we mwanahamisi

Nikiwepo unacheka

Nikisepa unaniiii

Wana wengine wasee (wasengenyaji)

Hatuwataki waseeee ( wasengenyaji)

Wana wengine waseee wasee waseee (wasengenyaji )

Hatuwataki waseee seee (wasengenyaji)

Sina nyota ya mtende kuotea jangwani

Nina nyota ya kitanda nikipendwa nawekwa ndani

Sina nyota ya mtende kuotea jangwani

Nina nyota ya kitanda nikipendwa nawekwa ndani

Unanidiss mie malaya mie mlevi

Eti nimeachika

Kodi sijalipa (bado hujasema)

Mie malaya mie mlevi (bado hujasema)

Eti nimeachika

Kodi sijalipa

Namtafuta rafiki rafiki

Rafiki yako nani nani nani

Rafiki yangu shabiki shabiki shabiki

Basi cheza nae nae nae

Haya kidege zunguruka

Ukitaka inama inuka

Haya kidege zunguruka

Ukitaka inama inuka

Haya kidege zunguruka

Ukitaka inama inuka

We si mwana we mwanahamisi

Nikiwepo unacheka

Nikisepa unanidiss

We si mwana we mwanahamisi

Nikiwepo unacheka

Nikisepa unaniiii

Wana wengine wasee (wasengenyaji)

Hatuwataki waseeee ( wasengenyaji)

Wana wengine waseee wasee waseee (wasengenyaji )

Hatuwataki waseee seee (wasengenyaji)

Doli Doli doli samwela

Unaringia pipi

Sifa ya mwanaume hela

Doli Doli doli samwela

Unaringia ndevu

Sifa ya mwanaume hela

Unanidiss mie malaya mie mlevi

Eti nimeachika

Kodi sijalipa (bado hujasema)

Mie malaya mie mlevi (bado hujasema)

Eti nimeachika

Kodi sijalipa

Namtafuta rafiki rafiki

Rafiki yako nani nani nani

Rafiki yangu shabiki shabiki shabiki

Basi cheza nae nae nae

Haya kidege zunguruka

Ukitaka inama inuka

Haya kidege zunguruka

Ukitaka inama inuka

Haya kidege zunguruka

Ukitaka inama inuka

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…