Utasema mapacha oooh mapacha
Nitajaribu kukusahau muendelee
Hata kama umenikosea nikusamehe
Kumbukumbu kichwani ipotee
Labda na mimi ntapendwa one day
Kweli wivu ninao na roho inauma
Japo najikaza ila maumivu yanauma
Moyo umeondoka nao huruma hauna
Naona mmependana bora nikae pembeni
Nisubiri wa kwangu
One Day Yes One Day Yes
One Day Yes
Nitapata wa kwangu
One Day Yes One Day Yes
One Day Yes
Na mimi nitapendwa
Unavyonisema vibaya hivi unadhani sisikii
Mnavyopost kunikomoa hivi unadhani siumii
Moyo umeretire kupenda kama hivi sirudii
Nilipanda mbegu ya upendo nimevuna
Presha Ma Bp
Najipa moyo mchana na usiku
Haya maumivu yatageuka njozi
Najipa moyo itafika mtoto wa mtu atanifuta machozi
Nitajaribu kukusahau muendelee
Hata kama umenikosea nikusamehe
Kumbukumbu kichwani ipotee
Labda na mimi ntapendwa one day
Kweli wivu ninao na roho inauma
Japo najikaza ila maumivu yanauma
Moyo umeondoka nao huruma hauna
Naona mmependana bora nikae pembeni
Nisubiri wa kwangu
One Day Yes One Day Yes
One Day Yes
Nitapata wa kwangu
One Day Yes One Day Yes
One Day Yes
Na mimi nitapendwa