Lyrics
We ndo kitumbua we ndo sambusa
Basi njoo unichumu baby, ndio tuseme umesusa?
We ndio mwisho wa reli, kwako nimeweka nukta
Walokuambia nala zuchu, sio kweli wanazusha
Wanaokaa vikao sisi kutujaji
Wape pole yao wanatwanga maji
Na waongeze bidii kwenye urogaji
Tuko Ten GB penzi full charge
Fanya wainama, wainuka
Kiguu kinyanyue kama unatupa
Yani wainama, wainuka
Kiguu kinyanyue kisha weka nukta
Mi kuachana na wewe aku chitaki chitaki
Chitaki chitaki chitaki chitaki mi
Kuachana na wewe chitaki chitaki
Chitaki chitaki chitaki chitaki mi
Mchana nikupe tango, usiku ndizi swadakta
Tuanze fanya mambo, kabla umeme hawajakata
Mapenzi mwenzie kiwango, na umejaaliwa talanta
Na unanijua kwa jambo, hatoki mtu kwa mkapa, ee aah!
Amuli chichichi amuli chachachacha
Kamoyo tititi nimeozaje sasa
Amuli chichichi amuli chachachacha
Kamoyo tititi nakuachaje sasa
Wanaokaa vikao sisi kutujaji
Wape pole yao wanatwanga maji
Na waongeze bidii kwenye urogaji
Tuko ten GB penzi full charge
Basi fanya, fanya wainama wainuka
Kiguu kinyanyue kama unatupa
Yani wainama, wainuka
Kiguu kinyanyue kisha weka nukta
Mi kuachana na wewe aku chitaki chitaki
Chitaki chitaki chitaki chitaki mi
Kuachana na wewe chitaki chitaki
Chitaki chitaki chitaki chitaki mi
Designed by Admalic Inc. BMB © 2024.